Ujenzi wa Kituo cha Precision Livestock Farming (PLF) katika NM-AIST Unaendelea!
Tunayo furaha kutangaza kuwa ujenzi wa Kituo cha Precision Livestock Farming (PLF) katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Afrika ya Nelson Mandela (NM-AIST) unaendelea.