NM-AIST Yazindua Kituo cha Kisasa cha Teknolojia za Ufugaji kwa Lengo la Kusaidia Wafugaji
Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Sayansi na Teknolojia ya Afrika (NM-AIST) kimezindua rasmi Kituo cha Utafiti wa Teknolojia za Kisasa kwa Ufugaji Fanisi (Precision Livestock Farming Hub – PLF Hub)