Hatimaye Zeoezi la kuwekea ngo’mbe boluses lakamilika
Uwekaji wa bolus kwa ng’ombe ulikuwa hatua muhimu katika mpango wetu wa kuwawezesha wafugaji kwa zana za kisasa zinazolenga kuboresha mbinu za ufugaji.
Maandalizi kabla ya kuwekea ngombe Boluses
Uhakiki wa wafugaji , Mafunzo na kuandaa miundombinu kwa kuanza kufunga mitambo ya Boluses
Ujenzi wa Kituo cha Precision Livestock Farming (PLF) katika NM-AIST Unaendelea!
Tunayo furaha kutangaza kuwa ujenzi wa Kituo cha Precision Livestock Farming (PLF) katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Afrika ya Nelson Mandela (NM-AIST) unaendelea.
Jifunze zaidi juu ya technology za kisasa za mifugo
Mpe ng’ombe wako sifa kwa kutumia technology za kisasa
Official Opening of Precision Livestock Farming (PLF) Technologies Evaluation in Africa Project
Lengo la mkutano huu lilikuwa ni kutambulisha mradi wa Teknolojia za Tathmini ya Ufugaji wa Kisasa wa Mifugo (PLF) Barani Afrika kwa wadau muhimu.
Timu ya PLF yatambulisha mradi Wilaya ya Hai
Timu ya Precision Livestock Farming (PLF) imefanikiwa kutambulisha mradi wao wa ubunifu kwa viongozi na maafisa ugani wa wilaya ya Hai