Uwekaji wa bolus kwa ng’ombe ulikuwa hatua muhimu katika mpango wetu wa kuwawezesha wafugaji kwa zana za kisasa zinazolenga kuboresha mbinu za ufugaji.
Tunayo furaha kutangaza kuwa ujenzi wa Kituo cha Precision Livestock Farming (PLF) katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Afrika ya Nelson Mandela (NM-AIST) unaendelea.