News list
AdministeringBolus
Hatimaye Zeoezi la kuwekea ngo’mbe boluses lakamilika

Uwekaji wa bolus kwa ng’ombe ulikuwa hatua muhimu katika mpango wetu wa kuwawezesha wafugaji kwa zana za kisasa zinazolenga kuboresha mbinu za ufugaji.

IMG-20240918-WA0005
Maandalizi kabla ya kuwekea ngombe Boluses

Uhakiki wa wafugaji , Mafunzo na kuandaa miundombinu kwa kuanza kufunga mitambo ya Boluses

HubBluePrint
Ujenzi wa Kituo cha Precision Livestock Farming (PLF) katika NM-AIST Unaendelea!

Tunayo furaha kutangaza kuwa ujenzi wa Kituo cha Precision Livestock Farming (PLF) katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Afrika ya Nelson Mandela (NM-AIST) unaendelea. 

Screenshot
Jifunze zaidi juu ya technology za kisasa za mifugo

Mpe ng’ombe wako sifa kwa kutumia technology za kisasa      

Launching
Official Opening of Precision Livestock Farming (PLF) Technologies Evaluation in Africa Project

Lengo la mkutano huu lilikuwa ni kutambulisha mradi wa Teknolojia za Tathmini ya Ufugaji wa Kisasa wa Mifugo (PLF) Barani Afrika kwa wadau muhimu.

IMG-20240731-WA0011
Timu ya PLF yatambulisha mradi Wilaya ya Hai

Timu ya Precision Livestock Farming (PLF) imefanikiwa kutambulisha mradi wao wa ubunifu kwa viongozi  na maafisa ugani wa wilaya ya Hai

Archive

Subscribe
to our newsletter
95
Dairy farms
Tumepanga kufanya utafiti huu na wafugaji wa dogo wa ng'ombe wa maziwa wa siopungua 95
213
Boluses for dairy animals
Tumeweka bolus 213 kwa ngombe wa wafugaji wadogo
60
Boluses kwa Big farms
Tumewawekea Bolus ngombe 60 wa wafugaji wakubwa
240
Pastoral herds
Tunajipanga kuwawekea tags (Ceres) ngombe 240 katika jamii ya kimasai
Acha kuishi na ng’ombe na sasa anza kufuga ng’ombe.