Author PLF Project
Title Project Brochure
Published 2024
Notes
Language Swahili
LCCN
ISBN

“Mradi huu wa utafiti ni wa miaka mitatu (2023-2025) na unafadhiliwa na Bill & Melinda Gates Foundation. Mradi huu unalenga kutatua changamoto za ufugaji pamoja na kufanya tathimini ya matumizi ya teknolojia za kisasa za ufugaji wa mifugo barani Afrika. Lengo ni kuwasaidia wafugaji wa ng’ombe wa maziwa na wa nyama kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili kama vile; magojwa ya mifugo, ukosefu wa taarifa na kushindwa kufanya maamuzi sahihi na kwa wakati juu ya mifugo yao, hali inayochangia kushuka kwa uzalishaji.”PLF One Pager – English & Swahili_20240715_v3.1 (1)

There are no reviews yet.

Add a review